#NBCPL: Tazama magoli yote manne yaliyofungwa kwenye mchezo kati ya Pamba Jiji dhidi ya Namungo FC.
Magoli ya Pamba Jiji yamefungwa na Rogers Freddy ambaye amejifunga na Natanael Iga.
Magoli Namungo yamefungwa na Herbert Lukindo na Nassor Kapama.
FT: Pamba Jiji 2-2 Namungo FC
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #PambaJiji #NamungoFC